Makala hii inalenga kuonyesha faida mbalimbali za kutumia aina tofauti za chai kiafya.
Tunaposema aina tofauti za chai ni kwa sababu pamoja na maeneo mengi nchini kutumia majani ya chai aina ya rangi nyeusi, kuna aina mbalimbali za rangi ya majani, ambayo kwa mujibu wa wanasayansi yana faida tofauti tofauti za kiafya.