Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I know you're tired of inconsistency
Are you into me? Are you feeling me?
To be honest
I'm into you, and the way that you talk is so damn cool
With your love I'm on a different high I've never felt before
And if your love is a drug, I'm an addict 'cause, damn, I'm feening for more, yeah
We've been talking for a minute now
Let me know where your heads at, am I in it? Yeah
You put me on your super high
I want to get lost in your paradise♪♪♪
Ndio ndio wakishuaa
 
Kaimu Mkurugenzi wa Lishe katika Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Grace Moshi ametoa onyo kali kwa Wanaume wanaoendeleza tabia ya kupenda kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha na kuwataka kuacha mara moja kwani kufanya hivyo wanawapunja watoto, Dkt Moshi ameyasema hayo wakati akitoa mada kwenye mkutano na Wanahabari wa SADC na kusema Wanaume wamekuwa wakibuni mbinu mpya kila siku kufanikisha adhima yao.
_
Amesema kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wanaume kupendelea kunyonya maziwa ya Mama huku wengine wakiwapa masharti kwamba wanyonyeshe Mtoto ziwa moja na lingine wabakishiwe wao.
_
Amesema Wanaume lazima watambue kuwa maziwa ya Mama ni tiba na kinga kwa Mtoto huku akishangazwa na tabia ya Wanaume wanaopenda kunyonya akihoji maana yao hasa ni nini?
#MillardAyoUPDATES
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tiba na kinga nasi tunaitaka[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
FB_IMG_1572295971529.jpeg
 
For every dream in your heart, I wish you greater inspiration.

For every hope you seek, I wish you unexpected miracles

For every opportunity awaiting you, I wish you an extra chance.

For every challenge you meet, I wish you a piece of your destiny.

Your greatest aspiration is but the beginning of all that you have to offer.

So reach beyond yourself... and let your heart carry you even higher.

[emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom