moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakulima wote poleni sana...
Poleni wafanyakazi wote...
Poleni mlio kwenye daladala...
Wasafiri poleni na mfike salama...
Poleni wagonjwa..Mungu awaponye
Mliopatwa na mafuriko poleni sana...
Mungu atupe jioni njema...
Mungu atupe afya na uzima...
15:13
Ndio ndio wakishuaaI know you're tired of inconsistency
Are you into me? Are you feeling me?
To be honest
I'm into you, and the way that you talk is so damn cool
With your love I'm on a different high I've never felt before
And if your love is a drug, I'm an addict 'cause, damn, I'm feening for more, yeah
We've been talking for a minute now
Let me know where your heads at, am I in it? Yeah
You put me on your super high
I want to get lost in your paradiseβͺβͺβͺ
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tiba na kinga nasi tunaitaka[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kaimu Mkurugenzi wa Lishe katika Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Grace Moshi ametoa onyo kali kwa Wanaume wanaoendeleza tabia ya kupenda kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha na kuwataka kuacha mara moja kwani kufanya hivyo wanawapunja watoto, Dkt Moshi ameyasema hayo wakati akitoa mada kwenye mkutano na Wanahabari wa SADC na kusema Wanaume wamekuwa wakibuni mbinu mpya kila siku kufanikisha adhima yao.
_
Amesema kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wanaume kupendelea kunyonya maziwa ya Mama huku wengine wakiwapa masharti kwamba wanyonyeshe Mtoto ziwa moja na lingine wabakishiwe wao.
_
Amesema Wanaume lazima watambue kuwa maziwa ya Mama ni tiba na kinga kwa Mtoto huku akishangazwa na tabia ya Wanaume wanaopenda kunyonya akihoji maana yao hasa ni nini?
#MillardAyoUPDATES
[emoji120][emoji120][emoji120]For every dream in your heart, I wish you greater inspiration.
For every hope you seek, I wish you unexpected miracles
For every opportunity awaiting you, I wish you an extra chance.
For every challenge you meet, I wish you a piece of your destiny.
Your greatest aspiration is but the beginning of all that you have to offer.
So reach beyond yourself... and let your heart carry you even higher.
[emoji120][emoji120]
Aiseee ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tiba na kinga nasi tunaitaka[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]