capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Naomba uje kwenye timu yangu mpya ya konde boy😁😁😁Hehehe mie sio team kiba
Hapa ni man u,r madrid,cr7,zari only
Hahaha thank you ila mie sio shabiki wa music hasa bongo fleva bora ya akina madiluNaomba uje kwenye timu yangu mpya ya konde boy😁😁😁
Ndo nini eti??
[emoji23][emoji23][emoji23] walahy sihusiki.! Na Akirudi aseme alikuwa wapi[emoji19][emoji19]Hajafika huku, kama umemzuia mahali tujurishane maana kona zake zote simuoni [emoji23][emoji23]
Duh!Karibuni kwetu NewalaView attachment 1249100
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wewe muhenga.?Hahaha thank you ila mie sio shabiki wa music hasa bongo fleva bora ya akina madilu
Magufuli for presidency 2020-25
Group hili ni kwa ajili ya wale wote wenye mapenzi mema na rais wetu, na wale wanaomsapoti kwa kazi nzuri anazozifanya kuliendeleza taifa hili. Group hili halizuii mwanachama wa chama chochote kujiunga, hivyo linakaribisha watu wote.t.me