Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
That my bro 😀😀Mwendo wa madongo tuView attachment 1249106
That my bro 😀😀Mwendo wa madongo tuView attachment 1249106
Maana yake Moyoni mwako niweke mimi Tu
Wengine tupa kule Wote [emoji39]
Ukijiunga kwenye hili group unapewa buku kumi.![]()
Magufuli for presidency 2020-25
Group hili ni kwa ajili ya wale wote wenye mapenzi mema na rais wetu, na wale wanaomsapoti kwa kazi nzuri anazozifanya kuliendeleza taifa hili. Group hili halizuii mwanachama wa chama chochote kujiunga, hivyo linakaribisha watu wote.t.me
Ukijiunga kwenye hili group unapewa buku kumi.
Hahah! Bro nipo hapaHajafika huku, kama umemzuia mahali tujurishane maana kona zake zote simuoni [emoji23][emoji23]
Usijali dear 😁😁Akikujibu nitag
Duh! Noma sana leo mzee wangu atakua kanuna sana huko homeJamani simba amefia Shinyanga, kama mlivyosikia[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahah! Queen bhana[emoji23][emoji23][emoji23] walahy sihusiki.! Na Akirudi aseme alikuwa wapi[emoji19][emoji19]