Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1572452677866.jpeg
 
Chuzi no side...

Leo nakuja na popcorn tuangalie burudani tu bila kufungamana na upande wowote maana jana ulishinda inatosha, usije kuumia Moyo na mood ya kubembeleza leo imenitupa mkono
Babe huyoo[emoji170][emoji170][emoji170]....leo icon ya moyo mwekundu siioni Jamani naona hiyo tu


Depal[emoji23]
 
Back
Top Bottom