moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Babe huyoo[emoji170][emoji170][emoji170]....leo icon ya moyo mwekundu siioni Jamani naona hiyo tuChuzi no side...
Leo nakuja na popcorn tuangalie burudani tu bila kufungamana na upande wowote maana jana ulishinda inatosha, usije kuumia Moyo na mood ya kubembeleza leo imenitupa mkono
Kiba kaanza mipasho kama mtoto wa tandale??
Na inamaana anataka kusema yeye kuporomoka kimuziki mond anachangia??
Hahahah! Kwakweli wanafaidi ila sio kama rika lenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakubwa wanafaidi
Msalimie wifi yangu [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂[emoji23][emoji23]View attachment 1249304
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usiniambie hizo icons nyekundu umezitumia mpaka zimeisha