Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilimkuta mahali huko Insta kama sikosei wakimuita Yanga girl. Sina uhakika kama ni yeye na sikufuatilia vizuri ishu yake.Duh! Bro unamfahamu adi huyu au umeokota tu picha huko machimbo?
Anasifika kwa shughuli gani? Ni msanii au staa?