Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilimkuta mahali huko Insta kama sikosei wakimuita Yanga girl. Sina uhakika kama ni yeye na sikufuatilia vizuri ishu yake.Duh! Bro unamfahamu adi huyu au umeokota tu picha huko machimbo?
Patrice Evra anasema walikua wanawaita Arsenal watoto na leo wameendelea kudhihirisha hilo...... Poor ArsenalGoooo
Aseno timu yangu hii dah !Arsenal katoka
Amezingua
Anapenda sana kuvaa jezi ya Yanga, sio msanii wala nini sema ni mtu wa chimboNilimkuta mahali huko Insta kama sikosei wakimuita Yanga girl. Sina uhakika kama ni yeye na sikufuatilia vizuri ishu yake.
Anasifika kwa shughuli gani? Ni msanii au staa?
Aseno timu yangu hii dah !
Arsenal beki yao paziaPatrice Evra anasema walikua wanawaita Arsenal watoto na leo wameendelea kudhihirisha hilo...... Poor Arsenal
Chimbo? Ni yale mambo ama?Anapenda sana kuvaa jezi ya Yanga, sio msanii wala nini sema ni mtu wa chimbo
Aaa wapi. Hana Uzaramo hata kidogo. Msukuma tu aliyelowea pwani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwa ukiwa nayo hii unanunua mazagazaga kibao
Arsenal sio wa kuwaamini hawa
Mimi nilishamshtukia anatufanyia maigizo