capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Its GoldbergYes! Kina Godbadge sijui kama nimepatia jina lake?
Goldberg kichwa cha chuma. Akikujia na bichwa lake ni afadhali ugongwe na treni...Yes! Kina Godbadge sijui kama nimepatia jina lake?
Safi sana! Kumbe wahenga tupo wengi!!Goldberg kichwa cha chuma. Akikujia na bichwa lake ni afadhali ugongwe na treni...
yah ni "Goldberg"Yes! Kina Godbadge sijui kama nimepatia jina lake?
Duh aiseeee sijawahi kuwa shabiki wa kuabudu mtu kihivyoNa kwa mashabiki wake huyu ni masihi kabisa; na ana cult following. Ukimgusa vita vya sembe vs urojo cha mtoto [emoji16][emoji16]
The Nature Boy Wuhuuuuuu [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Ongezea na uchawi
Maigizo. Wangekuwa kweli wanazipiga tayari manyonyo yangekuwa nje hapo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu jamaa kwa nini huwa havai viatu? Ni masharti ya mganga ama? [emoji16][emoji16]
hadi chooni hua anapekua au anaigiza tu mbele ya kamera
Wanazingua sana,Mmmh
Wapi uhuru wa kujieleza.
Hata utani hawana!!?