Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Z is for zebra
tapatalk_1437766958648.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na rangi zao.
Ulikataa mitala Dada ila ungeshaoleweka wewe muda sana
Sasa mdogo wangu Mimi na masheikh wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwishowe nimuimbie nyimbo za kuabudu humo ndani halafu nipewe talaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana siwezagi kuvumilia bila kuimba
 
Back
Top Bottom