Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sasa mdogo wangu Mimi na masheikh wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na rangi zao.
Ulikataa mitala Dada ila ungeshaoleweka wewe muda sana
Mwite tu[emoji1787][emoji1787]Mpendwa mbona unanilazimisha nimuite[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa heshima ya uzi huu sitomuita 😁😁😁Mwite tu[emoji1787][emoji1787]
Nimemmiss Sana mchumba Zurri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umampigia promo eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukweli ni kwamba jamaa katulia hanaga skendo Jf, shauri yako ngoja ukutane na kina Gurudume[emoji16][emoji16][emoji16]
Hukuota ndoto nyingine tofaut na kufungwa? [emoji16]Ndiooooo bae.
U mzima? Match hii mnafungwa Jana niliota
Weekend iko vizuri, huko vipi?Niko mzima, weekend imeanzaje?
HahaSubiri bae wako akusikie.
Huku salama bro. Huko kwako vipi?
Shukrani na sifa zimwendee Muumba wetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bora usimwite maana tutaishia kubishana tu humuKwa heshima ya uzi huu sitomuita [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah kweli humtaki nimepambana sana toka siku ya kwanza jamaa alipoweka nia😁😁😁Naona umampigia promo eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo siwezi kuwa mke wa 3..nitauawa bure Mimi jamani na wake wakubwa