Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

After 10 years of selfless service, a man realized that he has not been promoted, no transfer. no salary increase no commendation and that the company is not doing any thing about it. So he decided to walk up to his boss one morning and after exchanging greetings, he told his boss his observation.The boss looked at him, laughed and asked him to sit down saying; My friend, you have not worked here for even one day. The man was surprised to hear this, but the boss went on to explain.

Boss: - How many days are there in a year?

Man:- 365 days and some times 366

Boss:- How many hours make up a day?

Man:- 24 hours

Boss:- How long do you work in a day?

Man:- 8am to 4pm. i.e. 8 hours a day.

Boss:- So, what fraction of the day do you work in hours?

Man:- (He did some arithmetic and said 8/24 hours ie. 1/3(one third)

Boss:- That is nice of you! What is one-third of 366 days?

Man:- 122 (1/3x366 =122 in days)

Boss:- Do you come to work on weekends?

Man:- No sir

Boss:- How many days are there in a year that are weekends?

Man:- 52 Saturdays and 52 Sundays equals to 104 days

Boss:- Thanks for that. If you remove 104 days from 122 days, how many days do you now have?

Man:- 18 days.

Boss:- OK! I do give you 14 DAYS every year.
January, Revolution day = 1 day. March Eid el Haji day = 1 day
April, Good Friday and Easter day = 2 days, April, Union Day =1 day.
June, Maulid day = 1 day. July, Sabasaba day = 1 day.
August, Peasant Day = 1 day. October, Mwalimu's day = 1 day.
November Eid el Fitri day = 2 days. December, Boxing day = 1 day.
You fall ill 2 days.
Now remove that 14 days from the 18 days left. How many days do you have remaining?

Man:- 4 days.

Boss:- Do you work on New Year day?

Man:- No sir!

Boss:- Do you come to work on ( MAY DAY ) workers day?

Man:- No sir!

Boss:- So how many days are left?

Man:- 2 days sir!

Boss:- Do you come to work on 9th of December (independence day)?

Man:- No sir!

Boss:- So how many days are left?

Man:- 1 day sir!

Boss:- Do you work on Christmas day?

Man:- No sir!

Boss:- So how many days are left?

Man:- None sir!

Boss:- So, what are you claiming?

Man:- I see! thank you sir for all the money you have been giving me, I am sorry for trying to steal from the Company.
 
The Movie DB ni appa nyingine nzuri sana ya kudownload movie na series, application hii itakupa uwezo wa kuchagua kulingana na mwaka, genre na pia tofauti na app iliyopita, App The Movie DB inayo sehemu ya filamu za katuni hivyo utaweza kudownload filamu za katuni (Animation) kwaajili ya yako au hata watoto wako.
 
Show Box ni Application nyingine bora kabisa kwaajili ya kudownload filamu, Application hii itakupa uwezo wa kupakua filamu, na tamthilia moja kwa moja kupitia sim yako ya Android. Kingine kiziri kuhusu App hii ni kuwa itakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali zinazohusiana na filamu mpya na hata zile zinazokuja huku ikikonyesha na Trailer za filamu hizo.
 
Popcorn time ni app nyingine nzuri sana kwaajili ya kupakua filamu, kupitia App hii utaweza kupata movie mpya kulingana na umaarufu wake. Mbali na movie pia utaweza kudownload series pamoja na animation moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.
 
NewPipe
NewPipe hii ni app nzuri sana ya Android kwaajili ya wapenzi wa kuangalia video na kusikiliza muziki, App hii ni app kama ya YouTube ambayo inakupa uwezo wa zaidi ya YouTube kwa kukupa uwezo wa kudownload video, audio pamoja na kusikiliza video huku unafanya mambo mengine kwenye simu yako.
 
iRoot
Kwa wale wanaopenda kuroot simu zao iRoot ni moja kati ya App nzuri sana ambazo zinasaidia kuroot simu za aina mbalimbali. App hii haipatikani kwenye soko la Play Store lakini ni moja kati ya app ambayo inafanya kazi kweli.
 
Stop AD
StopAd ni moja kati ya app nzuri sana ya kuondoa matangazo kwenye programu mbalimbali, app hii inauwezo wa kuondoa matangazo kwenye app pamoja na kuondoa matangazo kwenye vivinjari vya aina mbalimbali kama vile Google chrome pamoja na FireFox
 
XTune
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaopenda kupakua nyimbo mbalimbali basi app ya Xtune ni nzuri sana kwako. Kwa kutumia app hii unaweza kupakua nyimbo mbalimbali kwa haraka kwa kutumia simu yako ya Android, unaweza kutumia app hii kudownload album au nyimbo za kawaida moja kwa moja kwa kutumia app hii.
 
Mobdro
Mobdro ni app nyingine nzuri sana ambayo inakupa uwezo wa kuangalia TV moja kwa moja kwa kutumia simu yako ya Android, app hii inakupa uwezo wa kuangalia channel za nje za kulipia mabazo mara nyingi unazipata kwa kulipia kingamuzi kama DSTV au Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…