The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndama mwenyewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndama mwenyewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Haha poa Numby, nikifumania jimbo lake ntakupa tips...Yes hizo hizo,nazionaga telenovela ila kusubiria episode za mbele majanga tupu
Ngoja niitafute story nzima niilete hapaHaha poa Numby, nikifumania jimbo lake ntakupa tips...
Kuna siku ulipost makala flan hapa, sikumbuk lakin ulikuwa unazungumzia Application zinazofanya kazi sawa na Shazam inavyofanya kazi...
Kuna hiyo App, uliipost yenye ina sifa zaidi ya Shazam (Shazam,imebase hasa kwenye music) ila hyo App nyingine inafanya kazi hadi kwenye Movie(mfano jina la movie hulijui ila ukiwasha hyo App tu, inakuletea jina la movie)
Nisaidie jina la hiyo App..
Hii pia huwa inajitahidi bro.. Pamoja sana
Enjoy bro!!
Mohamed Salah – Newcastle United
Mwaka 2011, Newcastle United walimfuatilia na ilibaki kidogo sana kumsajili mshambuliaji Mohamed Salah kipindi hicho akiwa na umri wa miaka 18 tu.
Yes hizo hizo,nazionaga telenovela ila kusubiria episode za mbele majanga tupu
Ok sawa Numby.Ngoja niitafute story nzima niilete hapa
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee
Samuel Etoo.
Anadai yeye ndiye mchezaji bora wa muda wote Afrika mpaka sasa.
Anasema hakuna cha George Weah, Roger Mila, Nwanko Kanu, Jey Jey Okocha wala Abed Pele.
Toa maoni yakoView attachment 1251026
TRM hao[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]aisee