Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Didier Drogba – Portsmouth
Kocha wa Portsmouth wa kipindi hicho, Harry Redknapp alimfuatilia kwa karibu sana straika Didier Drogba wakati alipokuwa akisaka mchezaji wa kwenda kucheza sambamba na Yakubu kwenye kikosi chake katika msimu wao wa kwanza wa Ligi Kuu England.