Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191031-WA0055.jpeg
 
Ni wafungwa hao bro, hapo unakosa uhuru pekee, ni mwendo wa kugonga pizza, spaghetti, noodles, chicken sekela, chicken tikka, burgers nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukishapiga msosi wa maana unaruhusiwa kuingia Gym, kwenye uwanja basketball au kuogelea, kwenda kuweka mwili sawa.
Huku kwetu ukiwa mfungwa mbali ya kupoteza uhuru wako pia upoteza utu wako.
Na nisivyopenda kutembea Haki ya Nani hili gereza lingenifaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ningeshinda jikoni muda wote
 
Gereza hilo linapokea wafubgwa toka nchi mbalimbali Duniani,
Hili gereza lingekuwepo bongo walahi lingejaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unafanya kosa walau la kwenda kupumzika huko mwaka MMoja.
Ndani gereza hilo pia kuna live band hutumbuza wafungwa nyakati za jioni
FB_IMG_1572608006989.jpeg
 
Ni wafungwa hao bro, hapo unakosa uhuru pekee, ni mwendo wa kugonga pizza, spaghetti, noodles, chicken sekela, chicken tikka, burgers nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukishapiga msosi wa maana unaruhusiwa kuingia Gym, kwenye uwanja basketball au kuogelea, kwenda kuweka mwili sawa.
Huku kwetu ukiwa mfungwa mbali ya kupoteza uhuru wako pia upoteza utu wako.
Nadhani falsafa yao ya magereza siyo kumwadhibisha mfungwa bali kumbadilisha tabia (rehabilitation). Bila shaka kuna programu nyingi kielimu na hata kitaaluma-tendaji ili kumpatia mfungwa huyo nyenzo za kumsaidia siku akitoka gerezani. Mifumo ya aina hii inahitaji uwekezaji sana na jamii iwe imeandaliwa vyema kubeba hizi gharama kubwa za kuwabadilisha hawa wafungwa.

Norway, kama zilivyo nchi nyingine za Skandinavia, ina huduma bora sana za kijamii na inashika nafasi za juu katika indexes za kila mwaka za mataifa yenye watu wenye furaha na ridhiko. Pia ina kiwango kidogo sana cha ufisadi na uhalifu wa kutisha. Tatizo pekee ni kodi kubwa sana ambazo hasa, ndiyo hugharamia huduma hizi bora za kijamii tunazoziona mpaka kwa hawa wafungwa. Na naamini kuwa hawa ni wafungwa wa makosa madogo madogo ya kawaida. Sidhani kama wafungwa wa makosa ya kutisha kama mauaji na ubakaji wanaishi maisha ya aina hii.
 
Back
Top Bottom