myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mlio kwenye daladala na bajaji..
Doooh..mbona Bata Sana,nikilinganisha na tabu za huku bongo doh
Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku bongo uraiani tu Sina chumba Kama hicho[emoji1787]
Bora umeongea ukweliMaisha kwenye hilo gereza ni bata kuliko hata maisha ya raia aliye huru kwenye nchi nyingi za kiafrikaView attachment 1250833
Inatia shaka kidogo. Tushukuru tu kuwa walitimiza lengo leo na kumwacha salama. Mengineyo anaweza kwenda hata kwenye therapy huko "akaponyeshwa"inaonyesha kuna mengine kaamua kuyaficha tu, nini lilikua lengo la yeye kuvuliwa nguo zote na kupewa kanga?
Sasa Mara moja moja Sio mbaya kwenda kusafisha nyota huko[emoji1787][emoji23][emoji23]
Eeh umebadili avatar 💃💃Mie tena tutawezana vizuri tu
AminaMungu atupe afya na uzima..
Aisee kuna haja ya kwenda kufungwa huko...hata mvua 30 sawa tu [emoji16]Maisha ya Gerezani Halden NorwayView attachment 1250800
😂😂😂Inatia shaka kidogo. Tushukuru tu kuwa walitimiza lengo leo na kumwacha salama. Mengineyo anaweza kwenda hata kwenye therapy huko "akaponyeshwa"
Ndoa ilitiki kwani? Siku hizi sikuelewiIn sha Allah
Na lielekeee kwa poo makondakta
Hivi hawa Ni wafungwa au Wala Bata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]