Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Swalama kabisa,tupo tunakimbizana wanywe uji sio uji wa jiraniiiMzima, sijui wewe na wajukuu hapo.
Swalama kabisa,tupo tunakimbizana wanywe uji sio uji wa jiraniiiMzima, sijui wewe na wajukuu hapo.
ha ha ha mtawezana naye kweli huyu awe wifi yenu?Chukua huyuView attachment 1250671
😂😂😂😂 kuanzia saa kumi shemejiSalama salimini.
Nina chimbo moja pale mianzini la fanta baridiii na mazaga mengine at your choice.niambie tukutane saa ngapi😀
Huyu naye. Walimvua nguo zote na kumpa kanga tu? Kuna mambo mengine unakausha tu kwa sababu wala hayaleti mantiki nzuri kwa jamii. Pole zake
kuna posti iliwekwa hapa watu wakamtilia mashaka mapozi yake tangu alipotekwa, huenda hii imechangia
Walakum msalam
inaonyesha kuna mengine kaamua kuyaficha tu, nini lilikua lengo la yeye kuvuliwa nguo zote na kupewa kanga?Huyu naye. Walimvua nguo zote na kumpa kanga tu? Kuna mambo mengine unakausha tu kwa sababu wala hayaleti mantiki nzuri kwa jamii. Pole zake
Sijambo za kwako, Ijumaa iwe ya Baraka kwako.Hujambo mpendwa
Shukrani mpendwa
Duh!! hamna la kuongeza hapo..