Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Unalea mtoto au unalea Mchumba?Salama bro,
Huku kwema pia.Tunalea bana 😅😅😅
Hahah! Unalea mtoto au unalea Mchumba?Salama bro,
Huku kwema pia.Tunalea bana 😅😅😅
Salama salimini.Haha shemejiiii au sio.
Wikiendi iko Poa, vipi we?
A na B yote sahihi.Hahah! Unalea mtoto au unalea Mchumba?
Wacha tuongeze na C bro unalelewa piaA na B yote sahihi.
hahahahahahWacha tuongeze na C bro unalelewa pia
Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapahahahahaha
Pamoja bro.Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapa
Unakumbuka ulitakaga kuniambia halafu ukawa husemi😅😅😅??Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapa
Mzee mwenzangu yupo ila mambo yake bado hayajatulia %Pamoja bro.
Mzee mwenzako kanyang'anywa nywila au ni gani aisee?
Marahaba bradha. Mzima?Nakusalimia binti mpole.
Kitambo sana👊
Hahahaha marahaba zimefika. Za majuzi ,jana?Naungana na wewe kumsalimu huyu binti mpole
Na wote tuseme hongera bradhaA na B yote sahihi.
Wacha weee full kula mtori wa mzaziWacha tuongeze na C bro unalelewa pia
Mzima, sijui wewe na wajukuu hapo.Marahaba bradha. Mzima?