Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbelgiji huyo alijiunga na Real Madrid akitokea Chelsea kwenye dirisha lililopita la uhamisho wa majira ya kiangazi na aliaminika anakwenda kumaliza kabisa pengo lililoachwa na Ronaldo kwenye timu hiyo baada ya kutimkia zake Juventus.