Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
It's not over..
Usitamani Mali ya mtu mwingine asema Bwana. 💃💃💃Nimesiliba vizuri ..kitanda natandika vizuri., yaani Ni pasafi...Ila pamekaa kimaskini Sana lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Yaani nikilinganisha na hicho Cha mfungwa..ameniacha mbali Sana
Kaka yangu asipokuoa mwaka huu wallah naandamana 😁😁😁Mboni uchafukapo, jicho huwa mashakani...
Ni mbali we ulipo na sijui u hali gani?
Ningekuwa na mabawa Mimi ningeruka kama ndege....
Nikufate we ulipo uupoze moyo wangu uupozeeee weeh😍😍
#sijasahaukipigocha 2-1
ningendako
Kwani unadhani hicho kipo wapi Kama sio nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Usitamani Mali ya mtu mwingine asema Bwana. [emoji126][emoji126][emoji126]
Maandishi yako yana harufu za tamaa, kutamani room ya mfungwa [emoji23][emoji23] ila shukuru we una hicho, mie nipo kwa shemeji [emoji85]
We na shunie ni wazembe kwenye code😂😂😂 angekuwa Karma hapa ashaelewa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hembu nieleweshe Tena..Mimi umbea wa code ulishanishinda
Bae...Mboni uchafukapo, jicho huwa mashakani...
Ni mbali we ulipo na sijui u hali gani?
Ningekuwa na mabawa Mimi ningeruka kama ndege....
Nikufate we ulipo uupoze moyo wangu uupozeeee weeh[emoji7][emoji7]
#sijasahaukipigocha 2-1
ningendako
Kwamba ndelemo na vifijo mwaka huu lazma vihusike[emoji16][emoji16][emoji16]Kaka yangu asipokuoa mwaka huu wallah naandamana [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante jirani. Ukawe na wikendi njema piaMchana mwema
Cha mtume lazima tukipige wallah 😁😁😁Kwamba ndelemo na vifijo mwaka huu lazma vihusike[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kujitetea tu nakupa A plus Dada 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwani unadhani hicho kipo wapi Kama sio nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hujaona ule Uzi mwingine wa umri nimekwambia nazeeka na ninamiliki tecno wereva tu ambayo Muda wowote inaweza porwa au ikazima,Maana kamechoka vibaya[emoji1787]