Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa sasa anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Euro 20,000 kutokana na kufanya kosa la kumsukuma mwamuzi msaidizi kwenye mechi ambayo timu yake ya Fiorentina ilichapwa 2-1 na Lazio. Ribery aliomba radhi kwa kitendo chake hicho.
 
Kuna jamaa yetu mmoja alifungwa kwenye gereza moja Sweden mwaka 1998.
Alifungwa miaka minne kwenye gereza linalofanana na hilo, alipomaliza kifungo alipewa tiketi ya ndege kurudi Tanzania na $ 4,000 za kuanzia maisha bongo[emoji23][emoji23]
Sasa Mara moja moja Sio mbaya kwenda kusafisha nyota huko[emoji1787]
 
Mambo yalikuja kufahamika baadaye baada ya kocha wa zamani wa mshambuliaji huyo, Stefano Colantuono, kufichua Cavani alikuwa ameshawishika na mpango wa kwenda kujiunga na West Ham United iliyokuwa na maskani yake Upton Park. Hiyo ilikuwa mwaka 2008.
 
Cavani alitaka kwenda kucheza kwenye Ligi Kuu England. Lakini, shida ilikuwa sehemu moja, West Ham United waligoma kulipa Euro 17 milioni waliyokuwa wakitaka Palermo na kitendo hicho kiliwafanya wafeli na Napoli wakatumia fursa hiyo kumnasa Canvani miaka miwili baadaye. Kwa sasa Cavani anakipiga kwenye kikosi cha PSG.
 
Kutokana na hilo, Blackburn waliamua kwenda kumsajili Nikola Kalinic kwenye nafasi hiyo, huku Lewandowski akatimkia zake Borussia Dortmund, ambako alikwenda kubeba taji la Bundesliga mara mbili kabla ya kwenda Bayern Munich anakotesa hadi sasa.
 
Back
Top Bottom