1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima na ndio maana hawachoki haraka, ukitaka kuamini amka na mtoto wako saa 12 asubuhi halafu ufanye kila anachofanya ikifika saa tatu bado uko fiti ni bahati wakati yeye ndio kwaanza alikua anapiga jaramba.
Mtoto anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo hupungua hadi kufikia 206 utu uzimani