Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zao hilo lina kiasi kingi cha protini yenye ubora wa hali ya juu kuliko kiasi kilichopo katika aina nyingine ya mazao ya mimea.ZK taasisi inayojishughuliza na uzalishaji wa bidhaa za vyakula lishe na mimea na matunda, vinavyoweza kutiba magonjwa mbalimbali wamezalisha maziwa ya Soya ambayo yana kiasi cha protini inayozidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa.
 
Warning
EIUOYB1XkAEXmfI.jpeg
 
Aidha, maziwa ya soya yanaa mafuta bora yasiyo kuwa na lehemu (cholesterol). Uwingi na ubora wa protini katika maziwa ya soya yanaweza kuondoa utapiamlo hususani kwa watoto na kuwaongezea nguvu kwa wagonjwa ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI (VVU) na wagonjwa wa UKIMWI na magonjwa mengine.
 
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kutumia maziwa ya soya kunapunguza athari za kansa ya matiti kwa wanawake, magonjwa ya moyo na kisukari. Maziwa ya wa soya hutumika kifungua kinywa au chai kupitia soya unaweza kutengeneza kahawa ya soya isiyo na kilevi (caffein).
 
Maziwa ya soya ni moja ya chakula chenye vitamin ya kutosha mwilini ikiwa ni pamoja na vitamin A, B C, D. E, F, G, H, na K .Kutokana na ubora na ladha maridadi ya soya ilipelekea watu wa zamani katika jamii zetu kutumia chakula hiki kama mbadala wa nyama, mayai na mafuta .
 
Back
Top Bottom