Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapa nahisi sijakuelewa kidogo4. Pua ndicho kiungo kilicho mbele zaidi kuliko kiungo kingine chochote kile na ndio maana HAKI YAKO INAISHIA PALE PUA YA MWENZIO INAPOANZIA.
Haki yako inaishia pale pua ya mwenzio inapoanziaHapa nahisi sijakuelewa kidogo
naskiliza Rhumba (bolingo) mapigo yangu yatakuaje?6. Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza.............
#sisemiMimi😀4. Pua ndicho kiungo kilicho mbele zaidi kuliko kiungo kingine chochote kile na ndio maana HAKI YAKO INAISHIA PALE PUA YA MWENZIO INAPOANZIA.
Poa sana mzee, vipi asee kwema?Niaje wee mzee
#Kwaniumewazanini?😀#sisemiMimi😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiomba kumuona mwanao anavyoendelea...
View attachment 1251527
Salama pia bro,weekend vp hukoPoa sana mzee, vipi asee kwema?
Fresh tu naona imeanza vyema hapa, nimeona jana mzee sio poaSalama pia bro,weekend vp huko
5. Kila mtu ana alama za kipekee katika kiganja na ulimi wake. na ndio maana kuna finger prints
17. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia (lakini sio kwa vichaa maana hiyo ni kesi nyingine kabisa)
Duh hii ngeni kwangu. KumbeIla nasikia tunafanana finger print na mnyama anaeitwa koala.