Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila pia kuna kupwa na kujaa kwa damu.

Unalizungumziaje hili dada yangu?
DAMU hutoka puani baada ya kupasuka kwa mirija mdogomidogo ya damu iliyopo ndani ya pua.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu akatokwa na damu puani, ikiwemo kuumia nje au ndani ya pua, kuwa na shinikizo la juu la damu, matumizi ya muda mrefu ya dawa kama Aspirin, ukosefu wa Vitamin K, unywaji wa pombe uliokithiri au mabadiliko ya homoni hasa kwa wanawake.
Damu inaweza kuwa inatoka kwenye matundu yote ya pua au kwenye tundu moja, inaweza kuwa nyepesi, nzito au inaweza kuwa inatoka kwa mabongemabonge. Inapotokea damu inakutoka puani, lazima ugundue kwamba hicho ni kiashiria kinachoonesha kuwa ndani ya mwili kuna kitu hakipo sawa.
Watu wengi huchukulia tatizo la kutokwa na damu kuwa ni la kawaida, hasa kama damu zitatoka na kukata zenyewe, jambo ambalo ni makosa. Kama
nilivyosema, kutokwa kwa damu huashiria kwamba kuna tatizo ndani ya mwili hivyo ni vizuri kuonana na mtaalamu wa afya ambaye atakufanyia vipimo kugundua ni nini kinachosababisha utokwe na damu.
 
Vere truu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bradha kakupiga chenga
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Davet somo linakuhusu hili🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…