Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani mnazinguaga mpaka basi.Club yetu Ni Bora kuliko zingine zote..wacha tujimwambafai tu[emoji1787][emoji1787]..
Mwaka huu nyota yetu ipo juu,mtuache jamani eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91].
Nitashangaa kuona Kuna watu bado wapo man utd
Huyo mwenzako mwingine huyo pia ni mshabiki wa Simba. Basi ikitokea siku Liva huko kaliza mtu na huku Simba kamfunga Lipuli au mvua zimenyesha Jangwani kule kumejaa maji basi humu huwa hakukaliki [emoji16][emoji16][emoji16]