Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mnazinguaga mpaka basi.

Huyo mwenzako mwingine huyo pia ni mshabiki wa Simba. Basi ikitokea siku Liva huko kaliza mtu na huku Simba kamfunga Lipuli au mvua zimenyesha Jangwani kule kumejaa maji basi humu huwa hakukaliki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata Kama tunazingua lakini bado sisi Ni Bora... [emoji91][emoji91]

Tz nashabikia yanga...ila yakiwa mazembe yanafungwa na Wala siumii
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…