Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Zile lyrics bro za mboni ichafukapo 😀Tatzo nini bro?
Huwa hatufungwi hovyo[emoji23][emoji23]Ila Livapuu wakifungwa unaumia hata kula huwezi; na simu unazima kabisa?
Nimeona bradha yupo huko hivyo nikarudi kubeba matirio kwa style hioUnanikumbusha enzi zile akina Mzee Luta na Malkia wetu wakitamba humu....
FT?Dijon 2 - 1 PSG
Ndio bro, jana hyo
Nimemwambia aondoke huko makaburini sijui anatafuta nini. Anasema eti kumbe alichelewa na kuna vitu anavimisi. Hovyo kabisa !!!Nimeona bradha yupo huko hivyo nikarudi kubeba matirio kwa style hio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa unabet ee?Aston Villa 2 - 1 Liverpool
Saint anne. Naombea leo mfungwe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Aston Villa 2 - 1 Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afukue tu ila akikumbana na bomu atalipukiwa mwenyeweNimemwambia aondoke huko makaburini sijui anatafuta nini. Anasema eti kumbe alichelewa na kuna vitu anavimisi. Hovyo kabisa !!!
Duniani wawili wawili aiseeGojazi wallahi...
View attachment 1251864
Mkeka wako lazima uchanike.Saint anne. Naombea leo mfungwe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kumaliza race unbeaten ni shida sanaNdio bro, jana hyo
Aston Villa 2 - 1 Liverpool