Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bournemouth XI: Ramsdale, Smith, Steve Cook, Ake, Rico, Harry Wilson, Billing, Lerma, Fraser, King, Wilson.

Subs: Boruc, Francis, Solanke, Groeneveld, Lewis Cook, Kelly, Mepham.

Man Utd XI: De Gea, Wan-Bissaka, Maguire, Lindelof, Young, McTominay, Fred, Pereira, James, Martial, Rashford.

Subs: Romero, Mata, Lingard, Rojo, Greenwood, Garner, Williams.
 
Kwanza kabisa unatakiwa kuosha nywele zako vizuri kwa kutumia shampoo ambayo imetengenezwa kwa ajili ya natural hair (nywele asili) au kama utatumia shampoo iliyotengenezwa kwa ajili ya nywele zenye dawa basi jaribu kutumia shampoo yenye conditioner. Hii itasaidia nywele zako kuwa laini na kuzuia zisiwe kavu baada ya kuziosha.
 
Pili ni kupaka mafuta nywele zako, zifanye nywele zako zivutie kwa kuzipaka mafuta ya maji kama vile mafuta ya nazi, olive oil, jojoba oil au castor oil kwasababu mafuta haya hulainisha ngozi ya kichwa, kufanya nywele zikue vizuri na kuzuia mba. Mafuta ya mgando hutengeneza mba kwenye nywele za asili kwa urahisi sana tofauti na nywele zenye dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…