Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekebisho ya hii midege yamekamilika ila watu hawayaamini tena. Congress wanataka kuingilia kati na kuiamru Boeing kuunda ndege nyingine kabisa na kuachana na hizi Max. Kuunda ndege nyingine from a scratch ni process ndefu na ghali sana mpaka kupata certification. Trump pia ana wasiwasi kuwa kitendo hicho kinaweza hata kuiangusha Boeing mazima (hasa kitengo cha ndege za kiraia) na kuathiri mamia kama siyo maelfu ya ajira na pride ya America...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…