Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Maandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...
Wangepitia life ilo zamani sana wameshaimbiwa parapanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu raha sana