Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Maandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...
Utaona.Huwa yanatick vizuri tu
Hadi tumesahau tunavyokula kichapoWangepitia life ilo zamani sana wameshaimbiwa parapanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema muda banaUtaona.
Mimi nasubiri Musa tu..sitaki kuongea maneno mengi[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu kali mnoUtadhani ulipigania uhuru kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe naye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema muda bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona ee.I believe kati ya hawa wafuatao
Ninge
Numbisa
Capitalpool
Ni peke yangu ndiyo Nina guts ya kuangalia hili timu Bovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usisahau kurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Hadi nakosea jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha niondoke
Shimba anatuchimba biti Sana humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu kali mno
Mwingine lile pozi la jet li,basi ukiwa kwenye daladala unaukumbuka huu uzi unataman kucheka kwa nguvu inabidi ukaushe na kutabasamu[emoji23][emoji23][emoji23]unakuta mtu kakomaa kunyooshea kidole
Nacheki game bro[emoji23][emoji23]Bro lakini unacheki game Au ndiyo maneno ya mashabiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarudi kwa ajili yako na Shimba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usisahau kurudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe wa juzi juzi tu hapa umemaliza makopo ya lactogen ya kutosha na uji wa selelakiShimba anatuchimba biti Sana humu.
Tuliopigania Uhuru enzi za ukoloni huwa hatujimwambafai hivi[emoji1787]
Naona unajitoa bro,,, kwamba "Wangepitia"[emoji23][emoji23][emoji23]Wangepitia life ilo zamani sana wameshaimbiwa parapanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu raha sana
Ati Nani wa juzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe wa juzi juzi tu hapa umemaliza makopo ya lactogen ya kutosha na uji wa selelaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwingine lile pozi la jet li,basi ukiwa kwenye daladala unaukumbuka huu uzi unataman kucheka kwa nguvu inabidi ukaushe na kutabasamu
Hahaha broI believe kati ya hawa wafuatao
Ninge
Numbisa
Capitalpool
Ni peke yangu ndiyo Nina guts ya kuangalia hili timu Bovu