Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala usijali hakunaga abiria wanaokumbukana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuishie hapa, usikute tulishawahi kupanda daladala moja
Selelaki ni tamu sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe wa juzi juzi tu hapa umemaliza makopo ya lactogen ya kutosha na uji wa selelaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ukidabika(andaeitin zone)itakua sherehe humu acha tukupe uhenga wa mudaAti Nani wa juzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Andaeitini mnanisumbua humu[emoji1787]
Nendeni kanywe hayo maziwa[emoji23][emoji23]
Naona unajitoa bro,,, kwamba "Wangepitia"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Selelaki ni tamu sana jamani
Unaweza kupanda daladala na mtu anakuangalia mwanzo adi mwisho wa safari, huyo lazima mkumbukane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala usijali hakunaga abiria wanaokumbukana ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa numby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala usijali hakunaga abiria wanaokumbukana ujue
Shida yako auziwe muarabu eeSasa hii Timu inajengeka kweli ????
Wa hivyo wanaboaga au mwanzo mwisho umekaa siti za wanafunzi full kuuza sura humo ndanUnaweza kupanda daladala na mtu anakuangalia mwanzo adi mwisho wa safari, huyo lazima mkumbukane
Hakuna mabadiriko bro, timu ni mbovu kuna kipindi inabd kujifarij tu ili hali ukweli wa timu yetu tunaujuaSasa hii Timu inajengeka kweli ????
ππππππ hiyo ndio noma zaidi mimi huwa situmii ile sitiWa hivyo wanaboaga au mwanzo mwisho umekaa siti za wanafunzi full kuuza sura humo ndan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole daah hadi unachapiaUnited manzingua,
Siku nikipendeza,nguo mpya,sura imekandikwa poda ya maana,mdomo unang'aa utadhan nimechinja kuku kwa mdomo,helen za maana nakaa hapo kuuza vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππππ hiyo ndio noma zaidi mimi huwa situmii ile siti
ππππ juzi usiku mlivyomchapa Chelsea kaipamba Man U hatari leo analia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole daah hadi unachapia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee na ww unazidi kuchochea motoKimsingi tabia zenu wakishua zinaboa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani na ninyi mjifananishe na wapigania uhuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole daah hadi unachapia
Huu msimu nishapumzisha presha zangu kwa man u. Mpaka msimu ujaoππππ juzi usiku mlivyomchapa Chelsea kaipamba Man U hatari leo analia tu