carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Waaaah!!Nilishakata tamaa nikaiunga, niliashalala na njaa ila Jogoo hakupanda mtungi
Waaaah!!Nilishakata tamaa nikaiunga, niliashalala na njaa ila Jogoo hakupanda mtungi
Hivi liver wanajimwambafai zaidi ya man u ikishinda??[emoji23]Wamezidi kujimwambafai. Hawafai !!!
Imagine wanaminya mpaka makende kisa tu eti washinde? Ushawahi sikia wapi tena vituko kama hivi?
Mwakani mwezi wa ngap eti??Barcelona na Manchester United hii Manchester mwakani hivi naweza nikaipiga chini
Leo uko oni fayaa[emoji91][emoji91]Furaha kuchezewa mwili na mpenzi kuliko kuchezewa akili na washenzi
Wachaaaa
Khaaaa!![emoji23][emoji23]
Man U ya zamani labda. Mashabiki wa hii ya sasa hata matumaini hawana. Wakishinda wanachukulia kama ni bahati tu na hawasemi lolote. Sasa ni hawa Livapuu. Ni kero kwa kweli [emoji36][emoji36][emoji36]Hivi liver wanajimwambafai zaidi ya man u ikishinda??[emoji23]
Marahaba shemeji. Natumaini hujambo huko uliko. Tumshukuru Mungu shem [emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23]
Shikamoo shemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hivi naweza kuweka kikombe changu kama hv ghafra anatokea mtu anaanza kuteseka tu[emoji23][emoji23][emoji23]
#hatushindaniiubingwasie
#tunatengenezatimubadoView attachment 1251999
Hukupiga picha??[emoji23]Nilipita wiki iliyopita hyo mitaa.. Kuna jamaa alikuwa anapigwa picha huku kanyoosha kidole(ishara ya kuonyeshea) sehem ile ya samak anayetoa maji mdomon[emoji16]
Baadaye tukishinda utakoma[emoji1787]Man U ya zamani labda. Mashabiki wa hii ya sasa hata matumaini hawana. Wakishinda wanachukulia kama ni bahati tu na hawasemi lolote. Sasa ni hawa Livapuu. Ni kero kwa kweli [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...
Nimeshakwambia nitazima data na kupotea mazima. Yaani mkifungwa dah! Furaha isiyo na kifani indeed wallahi [emoji16]Baadaye tukishinda utakoma[emoji1787]
Wanazingua sana hawa madogo sometimes [emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro naona povu hevi
😂😂😂😂😂Leo uko oni fayaa[emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We are Heart attack Fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]