Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Na umeme ukatikeYaani Leo..
Hembu ngoja nijiandae vema..Nichaji simu ili nikirudi niwasute vizuri [emoji1787]
Hahah hawatakuwa na nguvu hizo[emoji23][emoji23][emoji23]ka moja kanaumaaa
#kingnabradhawasipatemaanayao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha utakuwa na nguvu kweli? Leo ndio tutaona kama kweli unaweza ku walk alone[emoji23][emoji23]
Haukatiki ng'oo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na umeme ukatike
[emoji23][emoji23][emoji23]daahHahah hawatakuwa na nguvu hizo
Leo vigogo wanachezea,, kule Ujeruman kuna mtu bado kidogo ziwe hamsa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Haukatiki ng'oo[emoji23][emoji23][emoji23]
Aseno tuna hali gani huko shemeji?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisubiri mechi zote ziishe nianze kutoa pole
hellowDaemusin hellow
[emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta navamia ongoing vagabond. Aiseeehellow
naondoa maumivu kwa kuangalia my country.
hii timu inaweza kukukosesha urithi wa mali
davet upande mmoja binadamu upande mwengine shetani.[emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta navamia ongoing vagabond. Aiseee
jana wamezingua SBS.[emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta navamia ongoing vagabond. Aiseee
Leo epl sio rafiki kwa vigogodavet upande mmoja binadamu upande mwengine shetani.
barcelona anaongoza.
man city ameshatanguliwa
Duh kumbe basi nipo ep 2jana wamezingua SBS.
walionyesha baseball
yes, kama matokeo yataendelea kubaki hivi mwanadamu pekee atakayecheka ni babu yetu shimba ya buyenzeee.Leo epl sio rafiki kwa vigogo