Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Per Mertesacker, 2016-2018

Beki wa Kijerumani alikuwa mtu mwingine aliyepewa umaarufu huko Emirates kwa kukabidhiwa kitambaa cha unahodha. Staa huyo mshindi wa Kombe la Dunia 2014 alipambana na vikwazo vyote wakati alipokuwa nahodha wa kikosi cha Arsenal.
 
Kama ilivyokuwa kwa wengine, mwili ulianza kumgomea mwisho mwisho wa maisha yake ya soka. Mertesacker alicheza mechi chache za ligi kuliko hata nahodha Mikel Arteta, lakini aliporejea kutoka kwenye majeruhi, alicheza kibabe kwelikweli kwenye ushindi wa mabao 2-1 kwenye fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea mwaka 2017. Walau kwa sasa Mertesacker anafanya kazi kwenye akademia ya timu hiyo.
 
Laurent Koscielny, 2018-19

Mfaransa huyo ni staa mwingine ambaye mwili wake ulishaanza kuchoka wakati kipindi anaamua kukivua kitambaa cha unahodha wa Arsenal. Maumivu ya kigimbi yalionekana kutishia maisha yake huko Arsenal, lakini alipambana kuhakikisha anakuwa mtumishi bora kwenye timu yake.
 
Back
Top Bottom