Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daah
Hahaha sikupiga bhanaHukupiga picha??[emoji23]
Tulia bhana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#matengenezoyanaishalini
#kaulizakujifariji
Leo vipigo vinatuhusu wengi, kuwa specific kutoa pole useme inaenda kwa nani[emoji16]Weekend iko poa sana
Sijui kwako
Pole kwa kipigo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa capitalpoolBaby Doll wapi upo,
peleka mahari kwao kama wahindi.Haka ka anord ka handsome
Mmmh hela ndefupeleka mahari kwao kama wahindi.
Unaangalia game lakini? [emoji16]Kina Cole [emoji23]
hela ni moyo wako na wa kwake, kama na yeye amevutiwa basi atashusha thamani yakeMmmh hela ndefu
HahahahaUnaangalia game lakini? [emoji16]
Hahahaah aiseeehela ni moyo wako na wa kwake, kama na yeye amevutiwa basi atashusha thamani yake