Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Livapuu wana hali gani huko bro?
Hali ni tete bro
IMG_20191102_194414.jpeg
 
ewe Mungu uliyeumba sungura, mende, panya, mjusi, kenge, chatu na baadae ukamuumba huyu muhuni anayeitwa moudgulf.
tunaendelea kukuomba mechi ya liverpool imalizike huku aston villa akiibuka mshindi.
ameeeeeeeeeeeeeeeeeen.

tumechoshwa na kelele zenye kuambatana na mipicha mingi kama RUTASHUBANYUMA
 
Back
Top Bottom