Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23] basi cole yupo busy kuitafuta juve
Natania bnaa! Matokeo ya leo yamenigonjesha.No, sijafurahia.
Ugua pole, jitahidi umalize dose.
Ushindwee [emoji24]Marahaba mdogo wangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umekuja hivyoooo....unafukua fukuaa[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona uliniambia upo poa sasa?Maumivu ya kichwa plus uchovuu
Basi waonee huruma kwa leo[emoji23]Pona yao Ni hichi kitekno changu kinaelekea kuzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unafurahia kupoa kwangu??
Niko na doz ya malaria hapa.
Asantee sana Carb[emoji120][emoji120]Pole mdada jamani
Ugua upone[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona sana
Kwani lile bakuli la kudakia chozi bado unalo?
Afadhali, umetusumbua sana Ujue!Na pona yenu Ni tekno yangu kuzima[emoji1787]
Pole sana TH.Asantee sana Carb[emoji120][emoji120]
Pole jamaniUmeniamshaaa carb[emoji19][emoji19][emoji19]
Kumbe unatumia TECNO??
Ndo maana shabiki Liverpool.
Eti numbisa anauliza una hali gani hapo[emoji23][emoji23]
Aya kila la kheri mtaniShwari kabisa, nasubiria mwisho wa game ya Real M.
Team tecnoNa pona yenu Ni tekno yangu kuzima[emoji1787]
Hahaha pole sana, jaribu kuhamia Yanga tu πππππNatania bnaa! Matokeo ya leo yamenigonjesha.
Niko sawa lakini, vipi hali yako?
Naelewa bro ila taratibu tutakua pamoja tuMimi sina timu bro. Niko hapa kuwasindikiza tu...
Kuhusu kuumwa nilitania,Pole coco