carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
U hali gani eti?
Maana humu kuna majeruhi tu leo[emoji23][emoji23]
Maana humu kuna majeruhi tu leo[emoji23][emoji23]
Dawa yako iko jikoni.
Dawa yako iko jikoni.
Itabidi nipunguze madhambi aisee ili siku nyingine maombi yangu yawe na nguvu. Kuchekwa na Wanyakyusa hivi wala siyo poa aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba maombi yake hayawezi kufanya jambo?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umekuja hivyoooo....unafukua fukuaa[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo sentensi ya mwisho naomba aione KD[emoji125][emoji125][emoji125]
Pona yao Ni hichi kitekno changu kinaelekea kuzima[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umewaungia bando kabisa? Basi komesha hao
Mbona unafurahia kupoa kwangu??Umepoa Leo 😂😂😂😂
Hana hamu,huku man u huku barca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna team inaitwa Messi kwani?Au alikua kipa leo?
😂😂😂😂 nimeona sanaHiyo sentensi ya mwisho naomba aione KD[emoji125][emoji125][emoji125]
Pona yao Ni hichi kitekno changu kinaelekea kuzima[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umewaungia bando kabisa? Basi komesha hao
Nzuri kiaina Messi kafungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe upo timu gani mtani?Au ni yanga?
Umeniamshaaa carb[emoji19][emoji19][emoji19]Good night TH
Kumbe unatumia TECNO??Pona yao Ni hichi kitekno changu kinaelekea kuzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanafanya mambo mengi Sana ila sio kwa Liverpool [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba maombi yake hayawezi kufanya jambo?
Maombi yako Yana nguvu ila sio kwa Liverpool [emoji23]Itabidi nipunguze madhambi aisee ili siku nyingine maombi yangu yawe na nguvu. Kuchekwa na Wanyakyusa hivi wala siyo poa aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu ikishinda sifa zote anabeba yeyeKuna team inaitwa Messi kwani?Au alikua kipa leo?
Yaani sijui nafeli wapi sijawahi ambiwa hivyo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Hahah! Carb
Shwari kabisa, nasubiria mwisho wa game ya Real M.U hali gani eti?
Maana humu kuna majeruhi tu leo[emoji23][emoji23]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bora wamekufuma