Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

labda ni usajili wa muda mfupi ili kuongeza uzoefu kwa safu ya ushambuliaji.
eneo muhimu zaidi ni kiungo mshambuliaji ndilo analopaswa kulifanyia kazi dirisha hili.
tatizo letu kubwa hatutengenezi nafasi za kutosha
So true,
Wacha tuone anatufikisha wapi.
Taarifa ya Waarabu umepata? Ni kweli wameuziwa Team??
 
Wewe kiboko. Hata Moud cha mtoto. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ejooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka nindali Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekuja?????
Leo nataka nikuone ukitoa machozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii ni Liverpool bhana...huwa sibahatishi kwenye mambo yangu[emoji1787]
 
Sitoki humu Hadi maadui zangu mliokuwa mnataka kuona nikiwok aloni mmekuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SHIMBA YA BUYENZE vipi Hali yako?
Nakusalimu[emoji137]..
Pole kwa maombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
moudgulf njoo uniokoe kamanda. Hali tete huku [emoji16][emoji16][emoji16]
 
babu ameshalala mapema kwa sababu yako
Nipo bado kwenye mishe mishe fulani hivi. Nikimalizana na haya mambo ya ukoo ndo nitalala [emoji16][emoji16][emoji16]
ec484f62-52d8-4aea-b99c-dddc5abf30ac.jpeg
 
Back
Top Bottom