Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

basi ana chembe chembe za ubahili ndani yake
anajua mandzukic na ibrahimovic hawatokaa kwa muda mrefu ndani ya klabu, kuja kwao na kuondoka kwao hakutaathiri maendeleo ya greenwood, rashford na watoto wengineo tofauti na usajili wa dyabala na mafundi wengineo.

OGS ana mentality za kizamani, imani yake kubwa ni kwamba wachezaji wanaotokea ndani ya klabu ndio wanaifahamu thamani ya jezi
Ibra hana jipya zaid ya majigambo na kuonea madogo kila aendako. Huyu ole bora asepe tu
 
Man u,Aston Villa mnakwama wapi jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha ile clip wanapiga Bei jezi.

"Arsenal Ni Mia tano, Liverpool miatano, Manchester Mia tano,...
Zikaisha zote ikabaki man u..
"Manchester Mia moja, Manchester hamsini, Manchester Ni bureee"
Manchester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
😂😂😂
 
Hajalala huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1787].
Nilisema nitamtafuta popote Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nakula naye sahani moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shimba usijidai hunioni humu[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Shimba this is Liverpool [emoji123][emoji1]
raw%20(1).gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal Ni miatatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manchester Ni bureee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Poleni kwa maombi wapendwa[emoji2960][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Hii Ni Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom