Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-11-02 Instagram(15).png
 
babu ameshalala mapema kwa sababu yako
Hajalala huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1787].
Nilisema nitamtafuta popote Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nakula naye sahani moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shimba usijidai hunioni humu[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Shimba this is Liverpool [emoji123][emoji1]
 
18 century[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi wangeshinda ningeshangaaa..
Yaani shimba na wewe ndiyo mlikuwa waombaji...eti mnaiombea Liverpool njaa[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heheeheheh nacheka kinyakyusa Mimi Leo[emoji1787]
 
Kocha anazingua hapo anamnyemelea madzuk wa juve huko badala ya dyabala
basi ana chembe chembe za ubahili ndani yake
anajua mandzukic na ibrahimovic hawatokaa kwa muda mrefu ndani ya klabu, kuja kwao na kuondoka kwao hakutaathiri maendeleo ya greenwood, rashford na watoto wengineo tofauti na usajili wa dyabala na mafundi wengineo.

OGS ana mentality za kizamani, imani yake kubwa ni kwamba wachezaji wanaotokea ndani ya klabu ndio wanaifahamu thamani ya jezi
 
Back
Top Bottom