Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alitamba Sana mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimwambia Mimi maombi ya kuombea njaa Liverpool Ni kupoteza muda,hakunisikia[emoji1787]
pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,
baadhi ya nyakati inatokezea mr or mrs x anakuombea mafanikio kwa kutumia maneno yaliopinda.
naomba umsamehe babu yetu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na amekuwa akipoteza kumbu kumbu, kitu pekee asichoweza kukisahau kwenye fikra zake ni big booty and curvy.

hilo timbwili naomba umgeuzie yule mshabiki lia lia wa man utd.
anaitwa NUMBISA.

ngoja nikanunue mabisi, chauro na bakuli la urojoooo halafu nirudi
 
Hawa wote wawili nipo nao Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasa huyu Babu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nilimwambia kuwa Leo lazima Alie[emoji1787][emoji1787]
 
pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,
baadhi ya nyakati inatokezea mr or mrs x anakuombea mafanikio kwa kutumia maneno yaliopinda.
naomba umsamehe babu yetu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na amekuwa akipoteza kumbu kumbu, kitu pekee asichoweza kukisahau kwenye fikra zake ni big booty and curvy.

hilo timbwili naomba umgeuzie yule mshabiki lia lia wa man utd.
anaitwa NUMBISA.

ngoja nikanunue mabisi, chauro na bakuli la urojoooo halafu nirudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom