Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SHIMBA YA BUYENZE Sala zako zimeishia wapi vile??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
32c01abc-f914-4bbb-aab7-193471e70fa4.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ndugu jamaa na marafikiiiiiiiii. Finally tumedaka andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] torres huyu huyu aliyestaaafu juzi kati hapa hadi gerald aiseeeee.

Hapo ni wakati st anne anakua

Sio enzi za akina lunyamila wala chambua huko yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ulijua huyu ni muhenga??
Kizazi cha 2000s hiko[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wadila mola baba???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyakyusa nyie kiboko aisee...

Livapuu itabakia kuwa timu ya kiboya tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Yaani nimeweka bando kwa ajili yao niwape pole kwa maombi yao uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaachaje kirahisi Sasa..
Miatano yangu ya kunywa soda nimenunua bado Haki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kumbe umewaungia bando kabisa? Basi komesha hao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi wangeshinda ningeshangaaa..
Yaani shimba na wewe ndiyo mlikuwa waombaji...eti mnaiombea Liverpool njaa[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heheeheheh nacheka kinyakyusa Mimi Leo[emoji1787]
 
Ejooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka nindali Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekuja?????
Leo nataka nikuone ukitoa machozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii ni Liverpool bhana...huwa sibahatishi kwenye mambo yangu[emoji1787]
Kutoa machozi? Siliagi hovyo hovyo. Labda tu nikizidiwa na utamu....

Wewe jimwambafai tu. Mwishowe utachoka na utalala [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom