Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakala wa mchezaji winga Tahith Chong amewaonya Manchester United kuwa watatazama maombi kutoka sehemu nyingine kama klabu haitawasilisha masharti ya mikataba ya kuridhisha, baada ya mkataba wake kuisha majira ya joto yajayo.(Manchester Evening News)
 
Afadhali. Anayebakia ndo anazaliwa..
263712312_341498.jpeg
 
Eti bhageshi. Huyo kijana wa Sapiwi ndo amekudanganya eeh!?

Nilikuwa naona tu likes zako nikaona nikuite nikusalimie. Wikendi njema TH
Haha, naimani nimepatiaa hilo jina bhana..! Vipi wewe wekeend inaendaje mahali hapo.??


Nashukuru sana kwa salamu mtunza mapacha wangu[emoji18][emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom