Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😀😀😀😀
Kweli wametawanyika aisee.Raia wametawanyika kama walivyoahidi
Long time no see!Nipo hapa capitalpool
Soma vizuri, hakuna namna wewe ukawa dada yangu😀😀😀Mimi sio dada yako bhana[emoji23][emoji23]
Hahah! Mapicha picha tuKweli wametawanyika aisee.
Mi nasubiri kimbunga cha mashabiki wa yu wili neva wok aloni [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂 umewageukia hawa vibonde[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1252208
😂😂😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Poor Man U. Wamekubali kudinywa laivu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1252205
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Vibonde wa vibonde hawa. Wanafaa kujifarijiapo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewageukia hawa vibonde
Duh!
Chaajabu timu bado ina mashabiki sijui wanafata nini huko?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Vibonde wa vibonde hawa. Wanafaa kujifarijiapo...
So far humu aliyebakia ni Capital pekee anapambana. Binti Mpole tayari keshabwaga manyanga..labda na Cole sijui ndo anasubiria eti mpaka mwaka kesho [emoji16][emoji16][emoji16]Chaajabu timu bado ina mashabiki sijui wanafata nini huko?