The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Sikuchukulia serious kilipoanza....Asante KingMbona uliniambia upo poa sasa?
Pole sana aisee utakua poa tu soon [emoji120]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ankoo bana...Nakusalimia ankooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali, umetusumbua sana Ujue!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti numbisa anauliza una hali gani hapo[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Itabidi nipunguze madhambi aisee ili siku nyingine maombi yangu yawe na nguvu. Kuchekwa na Wanyakyusa hivi wala siyo poa aisee
Kwa heshima yako nawaacha huruBasi waonee huruma kwa leo[emoji23]
Hawatarudia tena kuibeza liver[emoji23][emoji23]
J3 necta mzee baba[emoji23][emoji23]Shule J2 tena jamani au ndio mitihani yenu ya kila week? [emoji3]
Yanga ndio wapi,Hahaha pole sana, jaribu kuhamia Yanga tu 😂😂😂😂😂
Me Niko Poa, uwe na usiku/ wakati mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee
Mwambie timu yangu ni wewe Tu peke yako hao wengine sijui Manchester United sina habari nao
Asantee, pole na wewe Coco nimeona unaendelea na doziPole sana TH.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ankoo bana...
Mimi nipo vizuri sijui wewe ndugu yangu?
Hahahah!Yaani sijui nafeli wapi sijawahi ambiwa hivyo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa heshima yako nawaacha huru
Nipo sawa TH.Asantee, pole na wewe Coco nimeona unaendelea na dozi