D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
le makalioooooooo from chatoooo de la congoooo.ππ ukipenda muite SHIMBA YA MISAMBWANDA
πππ emu muache babu yangu.yule mzee hata ukimtag anakupotezea.
na usiombe awe na mzuka wa kupost makalio humu ndani, aigoooooo anakuwa hana utofauti na nyumbu
Washinde Liverpool shida...
Washinde Simba shida...
Washindwe Yanga napo bado shida. Jizazi [emoji16][emoji16]
ππ anapiga final touchππ kumbe ndo maana kuna #andaeitini mmoja leo hayupo hapa
nilitoa maagizo akaripoti idara ya uhamiaji leo, ngoja ajele makalioooooooo from chatoooo de la congoooo.
vipi ule mkakati wa kufuatilia uraia wake unaendeleaje, nimemsikia akisema humu ndani hana cheti cha kuzaliwa lakini pasport anayo
itakuwa ameshaitikia wito muda huunilitoa maagizo akaripoti idara ya uhamiaji leo, ngoja aje
eti siasa, hahahahhahaaaaaaaaπππ emu muache babu yangu.
Babu na makalio
Capital na Apple products
Davet, TH na mahaba
Numbisa na Afya & urembo na habari za michezo
Depal &Ninge hawaeleweki π
Carbamazepine - motivations speaker / quotes tuu
Myoyambendi + MoudyGulf madini, utalii, uoto wa asili
Mfilisti.....
Bradha.....
Kgthalo na miziki
Daemusin na sembe + siasa
πππ
Wamepigwa 3 tarehe 3 saa 3
Sasa je, kuna kitu cha bure kwaniumegeuka mfanya biashara ya siasa, hatoi kitu chake mpaka na yeye atimiziwe maslahi yake
sikutegemea kama mpendwa na wengi humu JF utakuwa na chembe chembe za ubepari.Sasa je, kuna kitu cha bure kwani
[emoji3][emoji3][emoji3] daah eti mpendwa na wengi, sunbae mbona unataka kuniharibia CV lakini.... Njoo nikufundishe bwana Depal hajuisikutegemea kama mpendwa na wengi humu JF utakuwa na chembe chembe za ubepari.
nitakwenda kwa depal anifundishe kiingilishi
hilo sharti la kujifunza kikorea naomba uondoe.[emoji3][emoji3][emoji3] daah eti mpendwa na wengi, sunbae mbona unataka kuniharibia CV lakini.... Njoo nikufundishe bwana Depal hajui